UKURASA WA 465; Siyo Rahisi Kama Inavyoonekana.

By | April 9, 2016
Jamaa ameanza biashara na mtaji wa laki tano ila kwa sasa anamiliki biashara kubwa ya mtaji wa bilioni…. Jamaa amelima matikiti na sasa hivi una utajiri mkubwa sana…. Hadithi kama hizi zimejaa kila kona ya mazungumzo yetu. Na ni hadithi ambazo wengi wanapenda sana kuzisikia, na zinawahamasisha wengi kweli. Na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In