ONGEA NA KOCHA; Jinsi Ya Kujijengea Kinga Ya Mafanikio.

By | April 19, 2016
Habari za leo rafiki? Karibu tena kwenye mazungumzo yetu kwa siku ya leo, ambapo tunakumbushana mambo muhimu katika safari yetu ya maisha ya mafanikio. Leo nataka tugusie eneo muhimu sana ambalo ni kujijengea kinga ya mafanikio. Yaani kuwa na kinga ambayo itakuwezesha kufikia mafanikio bila ya kuzuiwa na chochote kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In