BIASHARA LEO; Asichotaka Mteja Kusikia Kuhusu Biashara Yako.

By | April 22, 2016
Siku za nyuma biashara zilikuwa zinatangazwa kwa sifa za biashara hizo, lakini sasa hivi mambo yamebadilika, badala ya kutangaza biashara kwa ubora wake, sasa hivi biashara zinatangazwa kwa kile zinachofanya. Mteja hataki kusikia biashara yako inatumia teknolojia gani ya tofauti, mteja hataki kusikia biashara yako imemshinda nani na nani. Anachotaka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: BIASHARA LEO

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz