UKURASA WA 489; Tuzo Na Adhabu…

By | May 4, 2016
Tangu zamani kumekuwa na njia kuu mbili za kutengeneza au kurekebisha tabia. Njia hizi ni za kisaikolojia na zimekuwa zinaleta majibu mazuri lakini pia zisipotumiwa vizuri zinaleta majibu mabaya. Njia hizo mbili ni Tuzo/zawadi na Adhabu. Tuzo/zawadi; Hapa mtu anatuzwa au kupewa zawadi kwa kitu kizuri alichokifanya. Mtu anatambuliwa kwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz