UKURASA WA 533; Kabla Hujaingia Jua Hivi Vitatu…

By | June 18, 2016
Maisha ni kama mchezo, kuna ambao wapo uwanjani wanacheza na kuna ambao wapo pembeni kuangalia wengine wakicheza. Kuna ambao wanafanya biashara na kuna ambao wanawaangalia wengine wakifanya biashara na kusema siku moja na mimi nitafanya. Kuna ambao wanaweka juhudi kubwa kwenye kazi zao na kupata matokeo bora na kuna ambao

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In