UKURASA WA 534; Kupata Na Kukosa…

By | June 19, 2016
Asili ya maisha ni kwamba kuna kupata na kukosa, hii ni kwa kila mtu licha ya kuwa yupo wapi au ana wadhifa gani. Hakuna mtu ambaye anapata kile anachokitaka kwa wakati anaotaka na kwa kiwango anachotaka mara zote. Unaweza kupanga vizuri na kuweka juhudi lakini usipate kabisa kile ambacho unakitaka.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In