BIASHARA LEO; Kuwa Sehemu Sahihi Kwa Wakati Sahihi…

By | July 29, 2016
Moja ya vitu ambavyo unahitaji kwenye biashara ni kuwa na taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Na taarifa hizi zitakuwezesha wewe kufanya maamuzi sahihi kwa pale ulipo kibiashara ili kuweza kusonga mbele zaidi. Mafanikio ya biashara yanategemea wakati uliopo na kile unachofanya. Kwa mfano mtu aliyekuwa anajua matumizi ya kompyuta wakati

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In