BIASHARA LEO; Cross-Selling Na Up-Selling, Mbinu Mbili Za Kuongeza Mauzo Bila Kuongeza Wateja.

By | August 29, 2016
Linapokuja swala la kuongeza mauzo ili kuongeza faida kwenye biashara, wafanyabiashara wengi huwa wanaangalia sehemu moja pekee, kuongeza wateja wengi zaidi. Kuongeza wateja ni mbinu muhimu ya kibiashara kwa sababu biashara yako inaweza kuwafikia watu wengi zaidi. Na kadiri unavyokuwa na wateja wengi, ndivyo unavyotengeneza uhuru wa biashara yako. Lakini

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In