UKURASA WA 638; Sababu Kubwa Kwa Nini Unarudia Makosa Yale Yale…

By | September 29, 2016
Moja ya hitaji kubwa sana la kuweza kuishi maisha bora na ya mafanikio, ni kupenda ukweli na kuishi ukweli. Tunapozungumza ukweli mara nyingi tunafikiria kutokusema uongo na vitu kama hivyo. Lakini huwa tunasahau kuhusu tabia zetu wenyewe. Tumekuwa tunajidanganya sana kuhusu tabia zetu wenyewe. Kila mtu anapenda kutetea tabia yake

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In