UKURASA WA 657; Siyo Kwamba Dunia Haina Huruma, Dunia Haina Muda Na Wewe.

By | October 18, 2016
Kuna mwanamuziki amewahi kuimba kwamba dunia haina huruma. Naweza kukubaliana naye kwa upande mmoja, na nisikubaliane naye kwa upande mwingine. Nitakubaliana naye kwamba dunia haina huruma, kama tutaiangalia dunia kwa upande wetu sisi. Kwa sababu tunapenda kujiona kwamba dunia ina wajibu kwetu. Kwamba dunia inapaswa kufanya kile ambacho sisi tunataka

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In