BIASHARA LEO; Mteja Mtarajiwa…

By | June 2, 2017
Biashara yako ina wateja ambao ni wale watu wanaonunua kwako sasa. Hawa tayari wanakujua na wanajua ni kipi unachotoa na kinawasaidiaje. Lakini pia biashara yako ina wateja watarajiwa. Hawa ni wale watu ambao bidhaa au huduma unayotoa inawafaa na itawasaidia, ila bado hawajawa wateja wako bado. Zipo sababu nyingi zinazoweza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In