Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujenga Biashara Kubwa Ya Wateja Wanaolipa Fedha Taslimu Na Siyo Mikopo.

By | June 5, 2017
Changamoto kubwa ya biashara nyingi kwenye mzunguko wa fedha ni madeni. Biashara unaanza vizuri, inakuwa na bidhaa na huduma zote, wateja wanaanza kukopa, wakiahidi kulipa wanapopata fedha zao. Lakini wateja wengi wanakuwa siyo waaminifu, wanapopata fedha hawalipi madeni, na mbaya zaidi wanahama biashara yako na kwenda sehemu nyingine. Hili limekuwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In