BIASHARA LEO; Jifunze Kwenye Kila Aina Ya Biashara…

By | July 20, 2017
Moja ya kosa kubwa ambalo wafanyabiashara wengi huwa wanafanya, ni kutokujifunza kupitia biashara nyingine. Na hata kama wakijifunza, basi hujifunza kwenye biashara zinazofanana na zile ambazo tayari wanazifanya. Kwa njia hii huwa hawaji na kitu kipya, badala yake kuiga kile ambacho tayari wengine wanafanya. Njia bora kabisa ya kujifunza kwenye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In