UWEKEZAJI LEO; Kwenye Uwekezaji Waepuke Watu Wa Aina Hii…

By | October 12, 2017
Watu wengi wamekuwa wakipata hasara kwenye uwekezaji kwa sababu hawatumii akili zao kutafuta maarifa sahihi na kufanya maamuzi sahihi. Badala yake wamekuwa wakitegemea wengine wawafanyie hivyo. Wamekuwa wakisubiri wengine wawaambie nunua hisa hizi, utapata faida kubwa na kadhalika. Wengi wanabeba ushauri huo kama ulivyo, wananunua hisa fulani, au kuwekeza eneo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In