UKURASA WA 1021; Watu Watakaa Upande Wanaotaka Kukaa…

By | October 17, 2017
Tukichukua mfano wa shuleni, hata mtihani utungwe mgumu kiasi gani, wapo wanafunzi ambao watapata ufaulu mkubwa, na wapo ambao watapata ufaulu mdogo. Mtihani ukitungwa mrahisi pia, mambo yatakuwa hivyo hivyo, wapo watakaopata ufaulu mkubwa na wapo watakaopata ufaulu mdogo. Na kama ni darasa moja, mara nyingi wanaopata ufaulu mkubwa ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In