UWEKEZAJI LEO; Ongezeko La Thamani Ya Mtaji Katika Uwekezaji.

By | October 17, 2017
Ukinunua kiwanja leo kwa shilingi milioni moja, halafu baada ya mwaka mmoja ukauza kiwanja hicho kwa shilingi milioni mbili, kuna ongezeko la thamani la mtaji ulioweka. Wewe uliweka mtaji ambao ni shilingi milioni moja, lakini baada ya mwaka mtaji huo umekua na kufikia milioni mbili. Ongezeko la thamani ya mtaji

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In