UKURASA WA 1056; Ni Bora Ufanye Kitu Kingine…

By | November 21, 2017
Kitu kimoja ambacho tunakihitaji sana lakini tunacho kwa ukomo hapa duniani ni muda. Kuna wakati tunahitaji tupate angalau muda wa ziada, ili kuweza kukamilisha mambo yetu lakini haupatikani. Lakini kuna wakati unakuta mtu alikuwa anapoteza muda, kwa kuwa hakuwa amejua kipi muhimu kufanya na muda wake. Leo nataka tukumbushane kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In