1673; Hatua Ya Kwanza Ya Kutatua Matatizo Makubwa…

By | July 31, 2019
Ni kwa wewe kuwa mkubwa kwanza. Huwezi kutatua tatizo ambalo limekuzidi ukubwa, litakutisha, kukupa hofu na kukukatisha tamaa. Unapokutana na tatizo ambalo unaliona ni kubwa kwako, anza kwa kuwa mkubwa kuliko tatizo lenyewe. Na ninaposema uwe mkubwa siyo kimwili badala yake kifikra. Anza kwa kuwa na mtazamo mkubwa kuliko tatizo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In