MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
1699; Umaarufu Hewa…
Siku hizi kila mtu anataka kuwa maarufu. Na umaarufu wenyewe sasa unachekesha sana. Kwa sababu ni umaarufu hewa, umaarufu ambao hauna msingi, umaarufu ambao upepo ukivuma tofauti basi unapotezwa kabisa. Tunapenda umaarufu kwa sababu tunajua utatupa ‘koneksheni’, utatufungulia baadhi ya milango kwa sababu unapokuwa unajulikana ni rahisi kupata baadhi ya