1709; Huduma Iliyo Kuu…

By | September 5, 2019
Msimamo wetu kwenye kisima cha maarifa ni KAZI, UPENDO NA HUDUMA. Kwamba chochote tunachofanya, tunapaswa kukifanya kwa kutoa huduma bora kwa wengine, kukipenda na kuwapenda wale ambao tunawahudumia. Tukifuata msimamo huu, tutaweza kupiga hatua kubwa kwenye maisha yetu. Kuna huduma iliyo kuu, huduma ambayo ukiitoa unaongeza thamani kubwa kwa wengine

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In