1750; Kama Hujakutana Na Ugumu, Hujajijua Bado…

By | October 16, 2019
Bahati mbaya sana kwetu sisi binadamu ni kwamba huwa tunajijua kupitia magumu. Pale mambo yanapokuwa mazuri na rahisi huwa tunabweteka na kujisahau, kuona kila kitu kinakwenda vizuri na hatuna haja ya kujisumbua. Ni pale mambo yanapokwenda tofauti na tulivyozoea ndiyo tunasukumwa kuchukua hatua za tofauti, kufikiri tofauti na hapo ndipo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In