1751; Usitake Kushinda Kila Aina Ya Ubishani…

By | October 17, 2019
Kama unataka maisha yako yawe rahisi, kama unataka kuacha kuyafanya maisha kuwa magumu zaidi ya yanavyopaswa kuwa, basi usitake kushinda kila aina ya ubishani. Kama kuna mtu amesema kitu ambacho hukubaliani nacho, siyo lazima uanze kubishana mpaka ushinde, kwa sababu unaamini wewe ndiyo uko sahihi zaidi. Tabasamu, tikisa kichwa na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In