1754; Hatua Ndogo Zenye Matokeo Makubwa…

By | October 20, 2019
Tunapofikiria mafanikio kwenye maisha yetu, huwa tunafikiria mambo makubwa sana. Na kila tunapoyaangalia mambo hayo, huku tukiangalia pale tulipo sasa, huwa tunaona ni vigumu kufika pale. Tunakosa kabisa hata nguvu ya kuanza, kwa sababu tunakuwa hatujui tunaanzia wapi. Mara zote nimekuwa nakuambia ufikiri makubwa, lakini uanze kwa hatua ndogo. Hii

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In