1789; Tamthilia Nzuri Kuangalia…

By | November 24, 2019
Umeambiwa kuna tamthilia nzuri imetoka, kila mtu anaisifia, unapata shauku ya kwenda kuiangalia. Unakwenda kuiangalia, na hivi ndivyo inavyokwenda. Mwigizaji mkuu kwenye tamthilia hiyo, anazaliwa kwenye maisha ya utajiri, anasoma shule nzuri na kufaulu vizuri, anapata kazi nzuri, anakuwa na mke na familia nzuri anaishi maisha yake vizuri na kisha

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In