1804; Heshima Inaanzia Kwako…

By | December 9, 2019
Kama watu hawakuheshimu, ni kwa sababu wewe mwenyewe hujiheshimu. Kama wewe mwenyewe unaweza kujipangia mambo ambayo unataka kuyafanya, halafu wakati wa kuyafanya unapofika unaahirisha, ina maana hujiheshimu, na wengine nao watajifunza kutokukuheshimu. Kama unapoongea na wengine unajishusha na kuonesha mambo unayofanya siyo muhimu, na wao pia wanayachukulia hivyo. Kama watu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In