1876; Ithamini Kazi Yako…

By | February 19, 2020
Kazi yoyote unayoifanya, ithamini sana. Anza wewe mwenyewe kuipenda, kuikubali na kuifanya kwa moyo wako wote. Jitume katika kuifanya, ifanye kwa ubunifu na utofauti mkubwa, asiwepo yeyote ambaye anaweza kuifanya kuliko wewe. Halafu watake wengine nao waithamini kazi yako, usikubaliane na wale wanaoidharau kazi yako, wanaoona hakuna unachofanya. Iwe ni

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In