1735; Usiyafanye Mambo Kuwa Magumu Zaidi…

By | October 1, 2019
Kila mmoja wetu anapitia magumu na changamoto mbalimbali kwenye maisha yake. Lakini tukiwaangalia watu kwa nje, kuna ambao tunawaona wana magumu zaidi ya wengine, na kuna ambao tunaona wao wana afadhali. Lakini unaporudi kuangalia kwa ndani, unagundua wote wana magumu na changamoto sawa, ila wale wanaoonekana changamoto zao ni kubwa

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In