1879; Badili Muda Unaofikiri Katika Kufanya Maamuzi…

By | February 22, 2020
Kama unataka kufanya maamuzi sahihi kwenye maisha yako, badili muda ambao unaotumia katika kufanya maamuzi yako. Badala ya kuangalia dakika 10 zijazo au siku moja ijayo, anza kwa kuangalia miaka kumi ijayo. Kabla hujaafikia kufanya kitu chochote kile, jiulize kama utaendelea kukifanya, je miaka kumi ijayo maisha yako yatakuwa wapi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In