#TAFAKARI YA ASUBUHI; SIFA ZA KAZI…

By | May 1, 2020
“Kazi ndiye rafiki wa kweli, asiyemtupa yeyote anayemheshimu.” – Dr Makirita Amani. 👉🏼Kazi ndiye rafiki wa kweli, imewatoa watu chini na kuwafikisha juu kabisa. 👉🏼Kazi inakupa heshima na utu, utaheshimika zaidi pale unapofanya kazi bora. 👉🏼Unapofanya kazi unayoipenda, inaacha kuwa kazi na kugeuka kuwa mchezo au sehemu ya maisha. 👉🏼Hakuna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In