#TAFAKARI YA LEO; JIFUNZE KWA KILA MTU…

By | January 6, 2021
Kila mtu unayekutana naye, kuna kitu cha kujifunza kutoka kwake. Inaweza kuwa kitu cha kuanza kufanya au kuacha kufanya. Kuwa tayari kujifunza na utajifunza mengi mno. Unaweza kwenda mahali kupata huduma fulani na kisha ukapata huduma ambayo ni mbovu mno. Badala tu ya kulalamikia huduma mbovu uliyopata, jifunze kutokufanya hivyo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In