#TAFAKARI YA LEO; INUKA UENDELEE…

By | February 27, 2021
Unapoanguka, hupaswi kubaki pale ulipoangukia, badala yake unapaswa kuinuka na kuendelea na safari yako. Kila mtu kwenye maisha huwa anaanguka, wanaobaki walipoanguka wanashindwa na wanaoinuka na kuendelea wanafanikiwa. Na hilo halitatokea mara moja, bali litajitokeza mara nyingi, hata ukianguka mara 10 amka mara ya 11 na uendelee na safari. Kama

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In