#TAFAKARI YA LEO, HAKUNA KINACHOPOTEA…

By | April 10, 2021
Kuna wakati utaweka juhudi na muda kwenye kile unachofanyia kazi, lakini matokeo unayopata yasiwe sahihi. Ni rahisi kuona juhudi na muda ulioweka vimepotea. Kama upo kwenye mchakato sahihi, basi jua hakuna kinachopotea, hata kama matokeo unayopata siyo uliyotaka, jua juhudi na muda ulioweka havijapotea, badala yake ni uwekezaji ambao baadaye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In