2340; Ukomavu Wa Kiroho…

By | May 28, 2021
2340; Ukomavu Wa Kiroho… Kama kuna kitu muhimu unachohitaji kwenye hii safari ya mafanikio basi ni ukomavu wa kiroho. Unapoianza safari hii ya mafanikio unakuwa mchanga kiroho, unakuwa na msukumo mkubwa wa kubadili maisha yako na kutaka kila anayekuzunguka abadilike mara moja. Utawalazimisha wabadilike na utawashangaa pale ambapo hawaelewi unachowashawishi.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In