2391; Kutaka kupenda na kila mtu…

By | July 18, 2021
2391; Kutaka kupenda na kila mtu… Hakuna maisha magumu hapa duniani kama kutaka kila mtu akupende. Ni maisha magumu kwa sababu hata ujaribu kwa namna gani, huwezi kufanikiwa. Haijalishi unafanya nini, kuna watu wanachagua tu kukuchukia. Na hata kama unachofanya ni kizuri na chenye manufaa, bado wapo ambao hawatapenda namna

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In