#TAFAKARI YA LEO; MAZURI NA MABAYA…

By | July 18, 2021
Yote huwa yanatokea, na siyo kwa kupenda au kutokupenda kwako, bali ni sehemu ya maisha. Lakini unapoweka mipango yako, huwa unaangalia mzuri yanayoweza kutokea na kuyasahau mabaya. Kinachotokea ni kuumizwa sana pale mabaya yanapotokea. Hupaswi kuruhusu kitu chochote kitokee kwa mshangazo kwako, yaani kitokee bila ya kutegemea kabisa. Tafakari matokeo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In