2403; Itumie hiyo nguvu isikuumize…

By | July 30, 2021
2403; Itumie hiyo nguvu isikuumize… Kipindi cha nyuma kidogo huko Moshi kilianzishwa kiwanda cha pombe iliyoitwa Banana. Ni pombe kali iliyotengenezwa na ndizi. Ilikuwa mwenye duka anapoenda kununua, mpaka anafikisha dukani, kwenye kreti chumba mbili mpaka tatu zinapasuka zenyewe. Wakati wa kufungua pombe hiyo ilipaswa kufanywa taratibu la sivyo ilimwagika

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In