2567; Kwa sababu wengine wanafanya.

By | January 10, 2022
2567; Kwa sababu wengine wanafanya. Sisi binadamu tunashawishiwa sana na binadamu wengine kuliko kitu kingine chochote. Ni rahisi sana kufanya kile ambacho wengine wanafanya, hata kama umejiambia hutafanya. Mambo yote, mazuri na mabaya huwa yanafanyika kwa sababu hiyo. Pale mtu anapoona wengine wanafanya, basi anaona siyo vibaya na yeye akifanya.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In