MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.
2651; Lile wazo limepotea.
2651; Lile wazo limepotea. Hizi kurasa huwa naandika kutokana na yale ninayokutana nayo kila siku. Kuanzia kujifunza, kukochi wengine na mawazo yanayonijia kulingana na mambo ninayokutana nayo. Jana wakati niko safarini kuna wazo la kuandika lilinijia, nikawa nimelifikiria vyema kwa namna ya kuliandika. Lakini kutokana na uchovu sikuandika wazo hilo