#SheriaYaLeo (155/366); Dhibiti mwonekano wako.

By | April 4, 2022
#SheriaYaLeo (155/366); Dhibiti mwonekano wako. Kwenye maisha watu wanakuhukumu na kukuchukulia kutokana na mwonekano wako. Kwa kuwa watu hawana muda wa kuchunguza kwa ndani, wanachukulia mwonekano wako wa nje ndivyo ulivyo kwa ndani. Ili watu wakuchukulie kwa namna sahihi kwako, unapaswa kutengeneza mwonekano wa nje ambao unawajengea picha hiyo. Jiweke

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In