2658; Inalipa sana.

By | April 11, 2022
2658; Inalipa sana. Huu ndiyo mtego ambao umewanasa na kuwapoteza wengi kuliko kitu kingine chochote. Kwa kuwa watu wana tamaa ya pesa, tena zinazoweza kupatikana kirahisi bila ya kufanya kazi yoyote, mtego huu umewanasa wengi mno. Mtu anaposikia kitu fulani kinalipa sana, anaona hicho ndiyo cha kufanya maana anachoangalia yeye

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In