#SheriaYaLeo (171/366); Wafanye wengine waje kwako.

By | April 20, 2022
#SheriaYaLeo (171/366); Wafanye wengine waje kwako. Pale unapoonekana kuwahitaji sana wengine na kwenda kuwafuata, unaishia kuonekana wa kawaida na hakuna anayekuthamini. Lakini pale unapowafanya watu waje kwako, kwa kuwa siyo rahisi wewe kupatikana, unakuwa wa tofauti na unathaminika. Kwa chochote unachofanya, wafanye watu waje kwako wakiwa na uhitaji. Wafanye waje

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz