#SheriaYaLeo (184/366); Usiwaridhishe watu haraka.

By | May 3, 2022
#SheriaYaLeo (184/366); Usiwaridhishe watu haraka. Uwezo wa kuchelewa kuwaridhisha watu una nguvu kubwa kwenye ushawishi. Unawajengea watu hali ya matumaini lakini pia hali ya kukuhitaji zaidi. Ile hali ya kuonekana hutaki sana kitu au hujali sana inakupa wewe nguvu kubwa. Kwani wengine wanasukumwa kukushawishi na kukubembeleza ili uweze kuwapa kile

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In