#SheriaYaLeo (194/366); Vuruga Matarajio Yao.

By | May 13, 2022
#SheriaYaLeo (194/366); Vuruga Matarajio Yao. Mazoea ni kifo cha ushawishi. Kama watu wanajua kila kitu kuhusu wewe, wameshazoea na kutegemea vitu fulani kutoka kwako, hawawezi kuvutiwa kushawishika na wewe. Wanaona mambo ni yale yale na hakuna cha tofauti. Ili kuendelea kuwa na ushawishi unahitaji kuvuruga matarajio ambayo watu wanayo kwako.

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In