2715; Meza yenye mguu mmoja.

By | June 7, 2022
2715; Meza yenye mguu mmoja. Ili meza iweze kuwa imara na kubeba vitu, lazima iwe na miguu zaidi ya miwili. Meza yenye mguu mmoja au miwili, hata iwe kubwa na imara kiasi gani, haiwezi kustahimili kubeba mzigo mkubwa. Miguu mingi ndiyo inaipa meza usawa wa kuweza kubeba vitu vingi na

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz