#SheriaYaLeo (220/366); Zingatia maslahi yao binafsi.

By | June 8, 2022
#SheriaYaLeo (220/366); Zingatia maslahi yao binafsi. Njia ya haraka na ya uhakika ya kuteka akili za watu na kuwashawishi ni kuwaonyesha jinsi ambavyo kitu kinakwenda kuwanufaisha wao wenyewe. Maslahi binafsi ndiyo nguvu yenye msukumo mkubwa kwa wengi. Tukio muhimu linaweza kuwahamasisha watu mwanzoni. Lakini baada ya hamasa hiyo ya mwanzo

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz