#SheriaYaLeo (254/366); Puuza mambo kuyanyima nguvu.

By | July 12, 2022
#SheriaYaLeo (254/366); Puuza mambo kuyanyima nguvu. Jambo lolote lile huwa linakuwa na nguvu kwetu pale tunapolijali na kulipa umakini wetu. Hata watu huwa wanatusumbua kwenye mambo ambayo tunayajali sana. Lakini unapopuuza jambo lolote lile, unalinyima nguvu na hivyo halikusumbui. Hata watu wanapotaka kukusumbua, ukiwapuuza usumbufu wao unakosa nguvu kwako. Kupuuza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In