2754; Muda wa kazi na muda unaofanya kazi.

By | July 16, 2022
2754; Muda wa kazi na muda unaofanya kazi. Hakuna eneo ambalo watu wengi huwa wanajidanganya kama kwenye muda. Na usipokuwa mkweli kwenye muda wako mwenyewe, hakuna namna unaweza kufanikiwa. Watu wawili, wanaweza kufanya kitu cha aina moja na kuonekana wakiwa na muda unaolingana. Bado mmoja akafanikiwa zaidi ya mwingine. Tofauti

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz