#SheriaYaLeo (266/366); Wavuruge wasiweze kukusoma.

By | July 24, 2022
#SheriaYaLeo (266/366); Wavuruge wasiweze kukusoma. Nguvu ya maadui zako ipo kwenye uwezo wao wa kukusoma na kujua nia na mipango uliyonayo. Lengo la mikakati yako linapaswa kuwa ni kuwazuia maadui wasiweze kukusoma. Utaweza kukamilisha hilo kwa kuwavuruga maadui zako, kuwafanya wahangaike na mambo yasiyokuwa sahihi. Unachofanya ni kuigiza unafanya kitu

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In