#SheriaYaLeo (270/366); Achana na yaliyopita.

By | July 28, 2022
#SheriaYaLeo (270/366); Achana na yaliyopita. Kinachowakwamisha watu wengi ni kushindwa kuukabili uhalisia na kuona vitu jinsi vilivyo. Kadiri tunavyokua kiumri, ndivyo tunavyozidi kufanya vitu kwa mazoea. Tunatawaliwa zaidi na tabia. Kitu ambacho kilitupa matokeo mazuri huko nyuma kinakuwa ndiyo msingi wetu, tunarudia hicho hicho kila wakati. Marudio yanachukua sehemu ya

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: SHERIA ZA SIKU

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz