2793; Eneo lako la nguvu.

By | August 24, 2022
2793; Eneo lako la nguvu. Jamii huwa inapenda kuwadhibiti na kuwatawala watu. Na ili kuhakikisha hilo linafanikiwa, hatua kubwa na ya kwanza ambayo jamii huwa inafanya ni kuhakikisha mtu hawi yeye. Kwa sababu inajua mtu ana nguvu na mamlaka makubwa sana pale anapokuwa yeye, anapokuwa halisi kwake. Hivyo inakuondoa kwanza

MUHIMU; Ili kuendelea kusoma makala hii unahitaji uwe umejiunga na KISIMA CHA MAARIFA. Kama tayari ulishajiunga na kuwa mwanachama weka taarifa zako kwenye sehemu ya LOG IN kwenye fomu hapo chini.. Kama bado hujajiunga na KISIMA CHA MAARIFA bonyeza sehemu iliyoandikwa Click here to register na utapata maelekezo pamoja na kujiandikisha.

Existing Users Log In
   
Category: KURASA ZA MAISHA

About Dr. Makirita Amani

Dr. Makirita Amani ni daktari wa binadamu, mwandishi, mhamasishaji na mjasiriamali. Dhumuni lake kubwa kwenye maisha ni KUWASAIDA WATU KUBORESHA MAISHA YAO NA KUFIKIA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA KAZI ANAZOFANYA. Mawasiliano 0717396253 email makirita@kisimachamaarifa.co.tz